Video ya Ngono ya Zari “the Boss Lady” yavuja Rasmi kwenye Mitandao

Leave a Comment
Mwanadada tajiri, Mjasiriamali,Mwanamitindo na anayeaminika kuwa ni mrembo mwenye mkwanja mrefu zaidi Afrika Mashariki na kati, Zari Hassan almaarufu kama “zari the boss lady”, amekwaa skendo mpya kufuatia video zake za utupu “ngono” akiwa kwenye tendo la kitandani na mwanaume ambaye bado hajafahamika ni nani (sura yake haitokezi) kuvuja.
Zari kwa sasa amefanikiwa kupata ‘umaarufu’ mkubwa katika vyombo vya habari vya Bongo kufuatia madai yanayoendelea kuzagaa kuwa anatoka kimapenzi na mwanamuziki wa Bongofleva nambari moja kwa sasa , Diamond Platnumz ambae alikuwa mpenzi wake “ Wema sepetu”.
Hii ndio skendo nambari moja kwa celebrity huyu wa Uganda kwa sasa.
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment