sehemu kuu 8 zinazoleta hisia kwa mwanamke wakati wa tendo la ndoa

Leave a Comment
SEHEMU YA 1: NYWELE
Hii ni ehemu ya kwanza yenye msisimko katika mwili wa mwanamke ni kwenye nywele, katika sehemu hii huleta msisimko kwa pande zote mbili kwa mwanaume na kwa mwanamke.

Walio wengi katika mapenzi hupuuzia eneo hili kwa kutokujua kama ni muhimu husasani wawapo ndani na wapenzi wao ila nataka nikufahamishe kua nywele huleta msisimko wa raha pindi zinapochezewa hivyo ukiwa ndani na mpenzi wako katika kumuandaa ili uweze kushirikiana nae katika tendo ni vizuri ukatumia kumlainisha kwakumpa raha kupitia nywele zake.
JINSI YA KUZICHEZEA NYWELE:
Nywele za mpenzi wako unaweza kuzichezea pindi mkiwa mmekaa kitandani mnaongea mkisubiri muda muafaka wa kuenjoy yawezekana mpenzi wako kakulalia, basi taratibu anza kuzishika shika nywele zake huku ukiwa unampa maneno matamu ya kimapenzi.

SEHEMU YA 2: MASIKIO:
Eneo husika lenye raha katika kumuandaa mpenzi wako ni kwenye masikio, pindi ukiwa ndani na mpenzi wako jitahidi kutumia eneo hili katika kumlainisha umpendae.

JINSI YA KUTUMIA MASIKIO YA MPENZI WAKO: 
Katika sehemu hii ya masikio kitu kikubwa kinachotakiwa kutumika ni ulimi wako, utumie ulimi wako katika sikio la mpenzi wako kwa kuuzungusha taratibu kwenye tundu la sikio huku ukifanya kama unamng'ata ng'ata kwa kutumia lips zako usitumie meno na sio umng'ate kweli tumia lips na ulimi pia njia nyingine ya kumletea msisimko mpenzi wako katika masikio unaweza kutumia ubunifu wa kumwambia "Dear kuna kitu nataka nikwambie ila nataka nikunong'oneze mvute msogelee karibu na sikio halafu mkiss kwenye sikio kwa sauti nyororo ya kiss huku ukilivuta najua atashtuka na atasisimka kwani itakuwa kama
suprise ni kituhakukitegemea.

SEHEMU YA 3: SHINGO
shingo nayo ni moja ya sehemu muhimu inayoleta msisimko kwa upande wa wanawake katika mapenzi sehemu hii ya shingo inaweza kutumika kwa kuichezea kwa njia ya ulimi, ukiwa ndani na mpenzi wako jitahidi kuuzungusha ulimi wako kwenye shingo la mpenzi wako taratibu itasaidia kumlainisha umpendae.

SEHEMU YA 4: MAZIWA /MATITI
-wanaume walio wengi huwachezea wapenzi wao maziwa/matiti wakifaham kama ni sehemu yenye msisimko ila wengi wao hawatambui sehemu husika za kuchezea na hawajui nini kitumike, kwenye hili naomba nikwambie kuwa katika maziwa ya mwanamke unatakiwa uzichezee chuchu zake unaweza kuzichezea kwa kutumia vidole vyako kwa kufanya kama unazibinya binya taratibu au unaweza kutumia ulimi wako unauzungusha kwa juu na kuzinyonya nyonya ila fahamu njia zuri ni ya kutumia mdomo na ulimi wako, nyonya maziwa yake kwa ustadi huku ukizungusha ulimi kwenye chuchu zake na chini ya maziwa.

SEHEMU YA 5: UKENI
katika sehemu zote tajwa hapo juu nilizozitaja ni muhimu ila sehemu hii ni muhimu zaidi kwani ni rahisi kwa mwanamke wa aina yoyote ile kulainika pindi anapochezewa katika uke wake hata kama alikuwa hana hisia lakini ukifika katika eneo hili ni lazima asisimke labda awe na matatizo ya kisaikolojia yamapenzi. Katika sehemu hii ya uke eneo kubwa unalotakiwa kulichezea ni kwenye Kinembe/kiharage tumia vidole vyako katika kukichezea kinembe cha mpenzi wako kwa muda mchache baada ya hapo anza kupitisha ulimi taratibu kwenye kile kinembe tumia muda mrefu kulichezea eneo hili ukitumia ulimi wako pia njia nyingine nzuri tumia uume wako kwa kuupitisha pitisha taratibu kwa juu sehemu ya kinembe cha mwanamke, itakusaidia kumfanya asikie raha zaidi na itasaidia kuulainisha uke wake ili pindi mtakapoanza safari yenu kusitokee michubuko kwani kumchezea kwa muda mrefu kunasaidia kuulainisha uke pia njia zinakuwa zinatanuka.

SEHEMU YA 6: KWENYE UTI WA MGONGO
uti wa mgongo nao ni moja ya sehemu muhimu katika kumsisimua mpenzi wako kwa upande wa wanawake ingawa wanaume wengi huipuuza sehemu hii, jitahidi ukiwa ndani na mwanamke wako kumbuka sehemu hii mgeuze mpenzi wako na umlaze kifudi fudi yani tumbo chini mgongo uwe juu baada ya kumlaza hivyo toa ulimi wako anza kuupitisha taratibu kwenye uti wake wamgongo ukianzia kuutembeza ulimi wakotokea shingoni unashukakwenye mstari mpaka kwenye matako yake. Fanya zoezi hili la kupitisha ulimi wakokatika round kama mbilipitisha mara ya kwanza rudia tena baada ya hapo endelea na hatua nyingine.

SEHEMU YA 7: MAPAJA
mapaja nayo huleta msisimko katika mwili wa mwanamke na kumfanya alainike katika tendo pindi yakitumiwa kwa ustadi wa mahaba jitahidi kuyachezea mapaja ya mpenzi wako kwa kutumia ulimi na kwa kumpapasa papasa na viganja vyako vya mkono.

SEHEMU YA 8: NYAYO ZA MIGUU
Eneo la mwisho lenye msisimko ni kwenye nyayo za miguu hili eneo unaweza kulichezea kwa kutumia ulimi au kama huwezi unaweza kutumia vidole ila kwa upande wangu mimi ninavyoona ulimi ni bora zaidi ingawa wengi mtahisi kama ni uchafu, ila kama unataka kulitumia eneo hili kwa ulimi hakikisha miguu ya mpenzi wako misafi kama ni misafi basi unaweza kutumia ulimi wako na kama unahisi si misafitumia tu vidole.

Jambo la Mwisho naomba niwaambie vijana wenzangu kuwa jitoleeni kila kitu pindi unapotaka kumfurahisha mpenzi wako usijali kutumia ulimi wako katika maeneo niliyoyaeleza hapo juu ni kweli mapenzi ni uchafu ila inakubidi ukubaliane na hili jitolee na usiwe na kinyaa.
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment