Zari...Wema tulia Diamond Sio Mume wala Mchumba wa Mtu

Leave a Comment
Mwanamitindo na Mfanyabiashara wa Uganda mwanadada Zari maarufu kama 'Zari the boss' Ameibuka na kumwambia zilipendwa wa diamondi Wema Sepetu kuwa Shape Sio Mume wa mtu na wala sio mchumba wa mtu kwa sasa hivyo kitendo cha yeye kutoka out naye ni sawa kwani ni maamuzi ya Shape Mwenyewe kwa vile kwa sasa yupo huru kabisa..Hivyo Wema Sepetu na Team yake wakae Kimya Waangalie tu jinsi Project inavyokwenda kwani muda wake wa kujivinjari na Shape ulishapita…...Alisema zari

Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment