Wema Sepetu ‘Amsapoti’ Ali Kiba

Leave a Comment
Baada ya hapo juzi Diamond Platnum kupitia ukurasa wake wa Instagram mtandaoni kutoa lawama juu ya uteuzi wa vipengele vya tuzo za muziki za Kilimanjaro Music Awards za mwaka huu na pia kueleza kuwa yeye hata hamasisha watu wampigia kura yapo kuwa ametajwa kuwania vipengere vingi zaidi kwenye tuzo hizo, hali ni tofauti kwa upande wa pili ambapo Staa wa Bongo Movies Wema Sepetu na team yake wamekuwa mstari wa mbele kumpigia debe Ali Kiba ili watu wampigia kura ili anyakuwe tuzo zote.

Kitendo cha Wema ambaye alikuwa ni mpezi wa Diamond kumsapoti Ali Kiba ambaye kwasasa inaonekana ndiye msanii mwenye ushindani (Kisanaa) na Diamond kimechukuliwa kwa mitazamo tofauti na mashabiki wa  mastaa hawa.

Team za mastaa hawa mtandaoni maarufu kama Team Mond, Team Kiba na Team Wema wamekua na mitazomo tofauti juu ya hiki anachokifanya Wema na hadi kufikia kutoleana lugha chafu wakati team Diamond wanaponda; huku team Kiba na Wema kuwa upande mmoja.

“Unapenda kiba wakati umetemwa na chibu alafu hukumbuki arusha umefukuzwa katika show ya kiba aibu huna kweli we mdada team platnamz hapa”-mtu mmoja alikomenti

Team Wema na Team Kiba wanamuunga mkono

“Halafu watu wengine viazi sana humu ndani kapostiwa King king king kiba mara ooooh chibu who is the Chibu by the way haaaaaaaaa. Acheni usechu kma ni diamond huko huko kwenu uhanithi hatutaki siye halaaaaa hata kama ajibebisha mwataka ajibebishe kwenu khaaaaa. Hebu legooooooo  Wematwende sawa. Vote for King baaaaanaaaa Ama niniiiiiiiii”-mmoja alikomenti

Wema Sepetu akiwa ndiye staa wa bongo mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao picha wa instagram (587,000 hadi sasa) amekuwa akiweka ‘posters’ za Ali Kiba na kuandika maneno ya kumsifia kama;

“Im thinking Eye candy.... Dats da right post...”

“Too much cuteness on this poster tho......”

“Im thinking Eye candy.... Dats da right post...”

“Campaign Inaendelea ama nene.... Such a cutie...!!! Like I said, either he gets it or nat, He still Fiiiiiiiiiiiiine....! Hihihihihi.... JustSayin...!!!”a
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment