Diamond azidi kumchanganya zari

Leave a Comment
Msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz ambaye amekuwa akimpikia mpenzi wake Zari Hassan chakula kabla hajawa mjamzito na hata sasa akiwa mjamzito.

Mwanadada huyo ameonesha kufurahia mapenzi ya mwanamuziki huyo kwa kujua kupika kitu ambacho kwake anaona ni nadra sana kwa wanaume walio wengi  kujua kupika na kuona kwake ni kama bahati.

Kupitia account yake ya Istagram Zari ameandika hili akiwa kaambatanisha na picha hapo juu “Blessed is the woman who has a man that can cook… nyt fam!!!”
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment