Kaka Mtu Amfumania dada yake akingonoka na Njemba chumbani Kwake

Leave a Comment
Kaka mtu aliyejitambulisha kwa jina moja la Nicholaus amesimamia fumanizi la dada’ke ambaye ni mwanafunzi wa sekondari moja jijini Dar ambapo alimfumania chumbani na njemba mmoja sharobaro aliyetajwa kwa jina la Abuu Ally, mkazi wa Mbagala-Charambe, Dar.
Akisimulia mkasa wa fumanizi hilo, Nicholaus alisema amekuwa akiumizwa na taarifa kwamba kila ikifika saa 2: 00 usiku kuna mwanaume amekuwa akijipenyeza na kuingia chumbani kulala na mdogo wake wa kike kisha kuchomoka alfajiri. Alidai kuwa kuwa mara nyingi vitendo hivyo hufanyika wikiendi .

Ili kumnasa mwanaume huyo, Nicholaus aliandaa vijana kadhaa wa kazi kwa ajili ya fumanizi na kisha akamtaarifu Mjumbe wa Mtaa wa Maji-Matitu, Hawa Ally kuwa wana kazi eneo lake hivyo akatoa ushirikiano uliofanikisha kumnasa Abuu.

Baada ya kukiri kosa mbele ya kiongozi huyo wa serikali za mtaa, pande zote zilikubali kusuluhishwa ambapo Abuu alikubali kulipa faini ya shilingi laki moja na kupewa muda wa siku moja kutekeleza adhabu hiyo.

 

Credit: Ijumaa Weekenda
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment